Mke wa ROMA Afunguka Sababu za Ndugu wa Rapa Huyo Kutoonekana Wakati Alipotekwa

Kwenye #FNL, Mke wa Rapa ROMA Mkatoliki aliweka wazi jinsi ilivyo anza hadi kuja kuwa mpenzi wa rapa huyo na kisha ndoa. Aweka wazi sakata zima la kutekwa kwa ROMA lilivyo athiri familia yao na kisa cha ndugu zake ROMA kutokuonekana kwenye harakati za kumtafuta ROMA. 

VIDEO:

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad