Mrembo Hamisa Mobetto Ajifungua Mtoto wa Kiume..Utata Kuhusu Baba wa Mtoto

Hongera zake kwa kupata mtoto na kama hizi tetesi za kwamba ni mtoto wa Diamond zina ukweli basi huyu mtoto kazaliwa mwezi mmoja na dada yake Tiffa....Mwenyewe Hamissa bado ameweka swala la baba wa Mtoto kuwa siri kitu ambacho kinaongeza tetesi kuwa ni mtoto wa Diamond Platnumz huku wengine wakisema kuwa amezaa na Majizo ambae alikuwa Mpenzi wake wa zamani na wana mtoto mmoja pamoja.....

 

Picha hapo juu ni mtoto wa kiume mara baada ya kujifungua akiwa Hospitalini..

Je wewe Mdau una Maoni gani

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kuhangaika na baba wa mtoto wa wenyewe kunakusaidia nn kwa mfano. Ukishajua inakusaidiaj kimaisha. Nenda kamuulize hamisa. Ina maana haya ndio mamb ya maana ya kujadili. UPUUZI MTUPU huu.

    ReplyDelete
  2. jAMANI hAMISA wAOOOOOOOOO!!!! hONGERA kUJIFUNGUA SALAMA. NASIKIA BIBI NA SHANGAZI WAMESHAKUJA KUKIONA KIDOGOOOOOO. bABA YAKE AKITOKA SAFARI ATAKUWA NJIANIIIII. hONGERA SANA FAMILIA YA NDALE INAONGEZEKA SASA. ASANTE HUYU INSHALLAH FUTURE MAKAENIKIA EVALUATOR. MUNGU AKUKUUZIE MAMA. NA AMUHIFADI.

    DIMONDI USFANYE KAMA ULIVYO FANYWA. CHUKUA UAMUZI WA BUSARA NA WAKIUME. USIRUDIE KOSA LA MZEE. MUULIZE MAMA ANAJUA KAMA KWELI. HONGERENI SANA.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad