MUONEKANO Mpya wa Mrembo VERA Sidika Wawato Mijidume Yenye Tamaa Mate

Video vixer kutoka Kenya, Vera Sidika ameamua kubadirisha muonekano wake wazamani na kuhamia katika muonekano wa rangi ya blue kwa nywele na mavazi.

Vera ambaye bado yupo nchini Uingereza, akila bata ametupia picha zake katika mtandao wa Instagram kuonyesha muonekano wa Blue Blue, muonekana ambao umewafanya baadhi ya watu katika masuala ya urembo kuusifia na wengie kumtaka apunguze rangi ya mdomo (lipstick).

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad