Mwakyembe Awataka Watanzania Kutumia Kiswahili Kama Fulsa

Mwakyembe Awataka Watanzania Kutumia Kiswahili Kama  Fulsa
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt Mwakyembe amewataka Watanzania kutumia fursa ya kufundisha na kueneza lugha ya Kiswahili katika mataifa mbalimbali.

Dkt Mwakyembe ametopa kauli hiyo mkoani Mbeya wakati akizungumza na Maafisa mbalimbali walio chini ya Wizara yake.

“Kiswahili ni lugha yetu ya kwanza ya Kiserikali wanakuja wageni tunatoa hotuba kwa Kiswahili sasa sisi tumepewa fursa ya kusoma kupewa nafasi Maafisa utamaduni Kurugenzi zetu Baraza la Kiswahili la Taifa tunalifanyia nini? alihoji Dkt Mwakyembe.

“Kitu ambacho Mungu ametupa hata Kiswahili leo tuzidiwe Kenya hata Kiswahili kiwe kama Makinikia kweli maana yake tunachezewa ndio maana hata rahisi wa nchi imemkosesha raha hiyo tutachezewa mpaka lini Watanzania.”
Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Haswa..lugha ni ytu Fani ya lugha ni yetu. Vipi tuachie kiswahuli chetu kijae kunapotoshwa na kuchezewa kama lugha ya kuibwa. Lugha yetu hii yenye asili toka mabibi zetu na mababu zetu. na inajitosheleza vilivyo tusukubali kamwe na nijukumu letu kuineza lugha hii. ukitaka ukweli india uarabuni indonesia na sehemu za visiwa vya indies na cuba hii si lugha ngeni .. KISWAHILI NI LUGHA YETU WASWAHILI NA TUIENZI VILIVYO. HONGERA SANA MAJALIWA NA HONGERA SANA MWAKYEMBE

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad