Mwimbaji Aslay ni Bandika Bandua...Tazama Hapa Video ya Wimbo wake Mpya Unaitwa Pusha

Wakati Alikiba na WCB wakichuana ku-trending kupitia Youtube, msani wa Bongo Flava Aslay naye ameachia tena video yake mpya ya’ Pusha’, hii imekuwa kawaida kwa msanii huyo kuachia video mfululizo kwa mwaka huu.

VIDEO:

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad