Nakubaliana kabisa na utendaji wa rais Magufuri, nampongeza sana-sana. Ana uchungu na Tanzania, ana nia ya dhati ya kuwatumikia watanzania, anedhamiria kututoa katika umasikini. Kwa mara ya kwanza Tanzania inaongozwa na kiongozi mwenye uchungu na nchi hii. Hata hivyo namshauri haya mawili ya msingi
(1) ABORESHE MASLAHI YA WAFANYAKAZI HARAKA IWEZEKANAVYO
(2) AZINGATIE SHERIA NA KATIBA KATIKA UTENDAJI
Nina Imani ujumbe huu utamfikia na namuombea ulinzi imara, afya njema na mafanikio katika kazi yake nzuri.
By Jugania/JF
JUKUMU LA KUSIMAMIA SHERIA NA KATIBA SIO LA RAISI PEKE YAKE BALI NI LA KILA RAIA. RAISI ANA MAMLAKA YAKE YA JUU YA KIONGOZI(EXCUTIVE POWER) KISHERIA. KUMEKUWA NA KELELE NYINGI KUHUSU UTAWALA WA SHERIA KUTOKA UPANDE WA UPINZANI JUU YA SERIKALI WAKATI WAO WENYEWE NI WAVUNJIFU WAKUBWA WA SHERIA. NCHI HII KAMA SI MSIMAMO WA MUHESHIMIWA RAISI KUTHIBITI MAANDAMANO YA KIPUUZI HI NCHI INGEKUWA IMESHIKA PABAYA HIVI SASA.
ReplyDelete