Nawapenda Sana Wanawake Wanaovaa Khanga Nyepesi.....

Kwa kweli nikiona mwanamke kavaa khanga hisia za kufanya nae ngono zinaongezekaga kwa kasi sana.

Tena umkute mwanamke anayejua kujifunga vizuri khanga aisee dah lazima udate kidume.

Lakini wanawake wengi hii siri hawajaigundua ,wanajifanya uzungu mwingi ,,wengi wanakwepa kuvaa khanga eti wataonekana wazee


Hii siri nimewamegea wanawake mliopo humu ,jifunzeni kujifunga khanga kimahaba mtatupata sana wanaume wakware kama mimi.


Huwa inavutia sana unarudi matembezini unamkuta mpenzi wako kavaa khanga laini na chupii tu ndani kisha anakuja kukulalia mapajani huku akikulembulia macho na kukupa maneno matamu matamu na kukushika shika ndevu na kifua au ukiwa umempakata

By Jordi Pola
Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Pilika pilika za mtanganyika hizo 80% kichwani mwake ni ngono tu

    ReplyDelete
  2. "Anonymous" ningependa kukufahamu kwa Jina kamali bila kutumia Jina la kimajazi.

    Point zako zimeinda shule aisee.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad