Nchi 10 Zenye Watu Wenye IQ Mdogo zaidi Duniani......
1
August 21, 2017
IQ ni kifupi cha Intelligence Quotient, IQ ni kipimo cha akili yako na imeelezwa kwa namba.
IQ ni kipimo kinachoonyesha uwezo wa akili katika nchi.
Nchi 10 zenye uwezo mgodo wa IQ Duniani.
1. Equatorial Guinea: IQ Wastani wa 59.
2. Saint Lucia: IQ Wastani wa 62.
3. Sierra Leone: IQ Wastani wa 64.
4. Mozambique: IQ Wastani wa 64.
5. Gabon: IQ Wastani wa 64.
6. Ethiopia: IQ Wastani wa 64.
7. Democratic Republic of the Congo: IQ Wastani wa 64.
8. Central African Republic: IQ Wastani wa 64.
9. Cameroon: IQ Wastani wa 64.
10. Republic of the Congo:IQ Wastani wa 64.
IQ kwa nchi za East Africa
23 Uganda: IQ Wastani wa 84.
27 Kenya: IQ Wastani wa 80.
34 Tanzania: IQ Wastani wa 72.
Tags
Watoa hii takwimu ni wacenge wa kizungu. Kwani Africa na nchi za kizungu wapi kuna wacenge zaidi? Siamini kiumbe kilichoumbwa katika hali yake halisi mfano mwanamme halafu amini kuwa yeye ni mwanamke then unambie huyo mtu anaakili zaidi. Mtoa hii takwimu atakuwa ana matatizo ya upungufu wa IQ vile vile.
ReplyDelete