Nisha Afunguka Kuhusu Mimba Yake Aliyopewa na Kiben Ten Chake

Nisha Afunguka Kuhusu Mbiba Yake
MSANII wa filamu Bongo, Salma Jabu`Nisha’ amezima uvumi unaosambaa kuwa amebeba kibendi kutoka kwa ‘benten’ wake anayejulikana kwa jina moja la Minu kwamba hilo halipo na wala hawezi kumzalia kwa sasa.

Akipiga stori na Ijumaa, alisema, ameshazoea kuzushiwa kwani hilo la ujauzito halipo na wala hajafikiria kwanza bado yupo ‘bize` na michakato yake ya kimaisha.

“Hahaa suala la mimba siyo kweli, si unajua watu kwa kujiongeza, nadhani alivyoweka picha yangu mtandaoni wakahisi nimeshanasa kibendi, kumzalia bado kwa sasa,” alisema.

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad