Baada ya kuushuhudia uongozi wa Dr Magufuli kama mkuu wa nchi kwa takribani miaka miwili sasa nimeridhishwa kabisa na utendaji wake.
Kwa hakika nikiwaangalia wale wengine waliochukua form, na hasa wale walioingia 5 bora simwoni yeyote ambaye angeweza kuleta mageuzi ya kimaendeleo tunayoyaona sasa. Na kwa wale wagombea vijana ndio hawajulikani kabisa walipo ingawa naambiwa vijana wale wote walipewa uwaziri.
Kiukweli sitegemei kuwaona tena vijana hawa 2020 sanasana tunategemea kuwaona kina Makonda, Polepole, Mavunde na the like hapo 2025. Kwa ule upande wa pili nadhani Zitto na Kitila wanaweza kuwakilisha muungano wa upinzani maana walau hawa sasa wana kauzoefu ka kuwemo serikalini. Ahsante!
By Martin George/Jamii Forums
JPJM ni habari nyingiine Africa. nchi lukuki wanaombe japo wampte nusu ya Magu. na sisi tujaaliwa kumpara ORIGINAL MAGU. ASANTW MUNGU BABA. BWANA ASIFIWE. EMEN
ReplyDelete