Picha ya Lemutuz Akila Wali Maharage Yazua Maswali, Baada ya Kujifananisha na Billgates


Huku mitandani watu wanajiuliza kuwa eti kula wali maharage ni kujishusha ? baada ya Lemutuz kupost picha akiwa anakula wali maharage huku akiwa ameuganisha na ile ya Billgates ....

Soma Comment ya Lemutuz hapo juu alafu utuambie kama kula wali maharage ni kujishusha....

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. huyu Lemuzz ni mjinga wa wadunia! kazi kupiga picha na wanawake lakini hana hata wa kulala nae. ni sifa za kuandia na kujifanya ooh nilikuwa majuu. haha Majuu kilamtu anenda na kuishi anavyotaka.kali zake na Bashite ni moja.

    ReplyDelete
  2. anatamani awe kama Billgate, ila kaishia vichochoroni na kaptura lake kama chizi.

    ReplyDelete
  3. hana jipya huyo Le jinga kubwa! ananuka mavi

    ReplyDelete
  4. kwa kweli ni mpuuzi kwani ulikuwa hujui ukijitweka dunia mwishi dunia inakuacha kama jamaa zako wanvojidai marembukeni kuna watu na hela zao lakini wala huwaoni kujionyesha lakini hao unaowaita mashosti na kuwaweka mutandaoni mara prado mara lexus mara hiki ndio munafaa mukae muambiani mfano Billgate ana hela kunua dunia lakini wala jufunzeni jamani

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad