Povu zitooo lamtoka zari the boss lady baada ya mtoto wake tiffah kuhusishwa na ishu za mtoto wa hamissa mobetto

Uko Instagram page moja ya kishilawadu imajaribu kumuhusisha mtoto tiffah na kichanga cha hamisa mobetto basi zari ikamfika hapa, basi povuuuu ziiiito limemtoka ni shida.

 Toa Maoni yako Hapa chini:

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Zari usinune, Naseeb a.k.a Diamond bado hajaoa, anayo nafasi ya kufunga ndoa na mwanamke yoyote yule hata kama hajazaa nae,..........kama kuzaa hata panya anazaa

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad