Rais Magufuli Afunguka Kuhusu Kutawala Kwa Miaka 20

Watu mbalimbali wamekua na maoni juu ya utendaji kazi wa Rais wa awamu ya tano Dr. John Pombe Magufuli akiwemo Mstaafu Mwinyi, Wananchi na hata baadhi ya Wabunge bungeni walisikika wakisema wanatamani Rais huyu atawale kwa muda mrefu.

Leo wakati Rais Magufuli akiwa kwenye ziara yake Tanga amenukuliwa akijibu hicho kinachosemwa kuhusu yeye kuendelea kukaa madarakani hata baada ya muda wake kumalizika.

JPM amesema hawezi kukaa madarakani kwenye Urais kwa miaka 20 kama alivyoombwa pia na Mbunge Steven Ngonyani kwasababu ni kinyume na katiba.

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hili ni Jambo la sisi Wananchi kukaa na Kutathmini wapi tumetoka nae na wapi tumefika je Tukimuongezea muda gani tunaweza kuifikia ile level ya Tanzania Yetu MPYA. Kwa hiyo tutamuomba na akiridhika na Afya anayo sioni Ubaya wa sisi Kuliomba na Kubadilisha Temporarly. Manake Tunataka asafishe MAFISADI waliojaaa bila KUTUONEA HURUMA. Na KUTUNYOOSHEA WANA HEWA>>> WALIOJAA NA KUTUCHAFULIA HALI YA HEWA... KUMRADHI BABA JPM >>> TUNAKUTAKA NA TANZANIA INAKUHITAJI KWA UJASIRI WAKO NA UTENDAJI WAKO>>>HUMUONEI HAYA MTU NA UKWELI KWAKO NI UKWELI TU HAUBADILIKI>>> MUNGU AKUWEKE UZIDI KUTUTUMIKIA> HAPA KAZI TUUUUUUUUU. Chapa Kazi Baba.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad