Rais Magufuli Anatukonga Nyoyo zetu Watanzania

Utendaji wake makini. Hacheki cheki ovyo, hafanyi mchezo na mafisadi, anamaanisha anachokiongea/anaenenda katika maneno yake. Ni rais ambaye Tanzania ilipaswa kumpata miaka kadhaa iliyopita na haipaswi kumpoteza kizembe. Shikamoo Magufuli. Shikamooni watanzania mliomchagua Magufuli. Wafinye wezi wote wafinye mafisadi. Wafinye wahujumu uchumi

By utaifakwanza/JF

Soma Nafasi za Kazi Zilizotangazwa Siku ya Leo Ingia >>www.ajirayako.co.tz

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Magufuli is a game Changer in African Leadership...!!! Believe me Magu is the Talk of the Time.
    His micro Managment is Second to None..!!! He practices what he oreaches. and Leading by Examples. He managed to keep frondship aside when it come to Countries Development. He leaves no stone unturned. Magu Baba wewe ilibidi utuongoze toka enzi zile za Hamsini Kweusi. Lakini yote ni mipango ya Mungu. Nikikumbuka Edward Moringe nakuona wewe na uchungu juu ya maisha yetu na nchi yetu. Inshaalah mungu akupe uzima na Afya utufikishe katika Level nyingine na Historia itashuhudia utendaji wako na Uadilifu wako na hapo tutakopifa na ntaomba tuweke kitengo cha kurekodi haya yote unayo yafanya katika kuileta Tanzania yetu Mpya katika Vitabu ambavyo wajukuu zetu watajua alipita Dume mkereketwa na Maendeleo watakayo kuwa wakiyashudia wajukuu zetu. Mungu akupe Amani uzima na Afya uendelee kututumikia kwa moyo wako wote kama ulivyo tuahidi HUTOTUANGUSHA. Dr Mahathir Mohamed wa Malaysia pia alipitia kama unavyo fanya na aliibadilisha nchi. Na wewe Dhana yako ya viwanda itatuletea Uchumi wa Kati na ndipo tunapoelekea. TAWILE NGOSHA . Mlimhola Du. JPM tunakuombea usiku na mchana MUNGU Akulide na kila Hasidi na Uhasidi wao. MKULU SISI WOTE TUKO PAMOJA NA WEWE. HAO WATAFUTA KIKI ZA MITAANI WACHANA NA NI WACHELEWESHAJI TU HAWA LAO JAMBO. HAPA KAZI TU. MPAKA 2030. HONGERA BABA.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad