Mh.Rais akiwa Tanga mchana wa leo aliwaambia wananchi kwamba baadhi ya mawaziri katika Serikali yake ni Wapumbavu.
Alitoa mfano wa Profesa Muhongo aliyemwagiza kuhakikisha flow meter kwa ajili ya kupima viwango vya mafuta yanayoteremshwa bandarini lakini hakufanya hivyo mpaka alipomtumbua.
Hapo awali asubuhi ya leo alimwambia Charles Mwijage kuwa anamkwaza kwa kutochukua hatua za kuwanya ng'anya viwanda walioshindwa kuviendeleza. Ninaungana na Mh. Rais 100% katika kuhakikisha maslahi ya nchi yanalindwa.
Swali langu: Je, lugha na kauli za Mh. Magufuli zinaweza kuwa na madhara gani katika Serikali anayoiongoza? Hasa kwa wasaidizi wake wakiwemo Mawaziri?
Chanzo:Jamii Forums/lancanshire
RAIS Magufuli: Baadhi ya Mawaziri KATIKA Serikali Yangu ni Wapumbavu
6
August 06, 2017
Tags
Magu harembi. iliyokuwa moyo ndiyo inaayotoka mdomoni
ReplyDeletelakini si kwa nia mbaya. he is unique and this is his style. me too i share the same thing. and it helps in moulding the individual team players to achieve a common goal. umeona waliopita walivyo tujazia Hewa katika kila nyanja na sasa nchi nzima iko katika harakati ya kuziba matundu ya Hewa
IKIONGOZWA NA JPJMMIKATABA MIBOVU. MIINDO MBINU HOVYO.UBADHIRIFU UHARIBIFU KUTOWAJIBIKA..SABABU TULIKUWA TUNAONEANA HAYA NA KINYAMAZA BADALA YA KUWE UKWELI KUWA UKWELI NA KUTO KUPENDEZEQA UNASEMA. MAGU IS LEADING BY EXAMPLEA AND HE WANTS HIS TEAM PERFORMANCE TO ACHIEVE MORE THAN EXPECTED. SO HE IS WRIGHT TO A CERTAIN EXTENT. HONGERA KWA MAWAZIRI NA TUICHUKULIE HII KAMA CHANGAMOTO KATIKA UTENSAJI IN A VERY POSITIVE WAY (NJIA CHANYA YA LEADERSHIP ACHIEVEMENT)
MLETA MADA NADHANI UTAKUWA UMENIELEWA VILIVYO ITS A MINDSET AND AN ANGLE WHICH YOU ARE LOOKING AT...HONGERA SANA BABA JPJM WITH YOUR ENTIRE TEAM. TANZANIA INAWAHITAJI NA SPIDI HII ..HAKUNA KUREMBA HATA KAMA NO NDUGU YAKO.HAPA KAZI TU

Kuna ustaarabu ni lazima uwe nao ukiwa kiongozi wa juu. Huu usraarabu unakuja kwa namna ya kuzungumza, kucheka hadharani, kula, kuvaa na kutembea. Na wengi viongozi duniani wanatayarishwa kusudi wajue adabu hizi. Kwani unapozungumza jukwaani, inadidi utumie lugha sahihi kwa kutunza heshima yako binafsi na ya taifa. Unapokula pia, namna ya kudhika uma, kisu, kijiko, ujue uma hii ya saladi si ya chakula kingine. Au unapotafuna hupanui mdomo sana au kutafuna huku mfomo unapiga kelele. Kumwambia waxiri mpumbsvu di sahihi. Ingawa anamakosa. Ni kumdharalisha kama mtoto na kutokumweka huyu waziri sawa na wewe.watu wengine wataiga maofisini. Ni ksma Mkapa alivyowatukana watanzania. Mtu mstaarabu hawezi kutumia maneno haya hadharani kwenye mikutano. Watoto na vijana anawafundidha nini. Wakoloniwalimeita mfanyakazi mwanaume boy, ni mtu ea chini na hana hadhi. Ni matsbska ya ubwans na utwana. Hivi kama alisema kweli, hata neno la kusema silijui.uraisi ni cheo cha juu sana. Inabifi mwenye cheo hicho mara zote ajichunge namna ya kuongea na watu kutokana na chro chske. Haileti picha nzuri.inaonyesha wazi anadharau, na ni bosi. Ursisi si ubosi bali ni utumishi. Raisi akitaka afanye kazi vixuri, awe mdikivu, mvumilivu, mwenye busara, heshima, na haki . Awe mkweli, na muwazi. Akiwa hivi, kazi yake itarahisidhwa. Watu watajisikia huru, watskuwa karibu naye, watakuwa wakweli, wawazi, na watamheshimu badala ya kumwogopa.watakuwa na ushirikiano na uhusiano mzuri.pia itsmrahidishia yeye kazi, na itamsaifia katika uteuzi wake wa viongozi.lugha, inaonyesha utu na hadhi ya mtu.hii lugha si nadhifu. Ni ya kibabe na udharalidhaji kabisa. Ingawa Muhingo alikosea na unafikiri unamdharalisha, alishajidharslisha mwenyewe. Hapa unajidharalisha mwemyewe raisi wangu unakuwa kama mtu wa mitaani, na si msomi.
ReplyDeleteJamani,jamani tabia ya kumlisha maneno asioyasema muheshimiwa raisi sio kitu kizuri hata kidogo. muheshimiwa raisi hakusema kuwa katika serikali yake kuna mawaziri wapumbavu yaani uongo uliopindukia mipaka na upindiawaji wa maneno. Nashangaa huu uandishi wa habari wa aina gani? Na kwa vyombo vinavyohusika serikalini kwanini wanaendelea kuruhusu kauli za muheshimiwa raisi zigeuzwe katika mauzui ghasi kinyume na raisi alivyotamka? Na kwa kuthibitisha kuwa huu ni uongo wenye lengo la kumfitinisha muheshimiwa raisi na serikali yake anayoiongoza iletwe hiyo clip ya video muheshimiwa raisi alipotamka hayo maneno kama ipo yaani ni uzushi mtupu. Na nyinyi wenye hii blog kuweni waungwana be fair please wa si kuchapisha maoni yanayowafahisha tu kwani ukweli utabakia kuwa ukweli tu hata mkiyafuta maoni yanayoonyesha makosa kwa kilichochapishwa hapa.
ReplyDeleteHayo maneno yapo kabisaaa.. tena kasema kuna watu wengine niwap... halafu akasema samahani sikupaswa kusema hivi hadharani ila kuna wakati mtu unakuta umeshaongea..
DeleteJamani,jamani tabia ya kumlisha maneno asioyasema muheshimiwa raisi sio kitu kizuri hata kidogo. muheshimiwa raisi hakusema kuwa katika serikali yake kuna mawaziri wapumbavu yaani uongo uliopindukia mipaka na upindiawaji wa maneno. Nashangaa huu uandishi wa habari wa aina gani? Na kwa vyombo vinavyohusika serikalini kwanini wanaendelea kuruhusu kauli za muheshimiwa raisi zigeuzwe katika mauzui ghasi kinyume na raisi alivyotamka? Na kwa kuthibitisha kuwa huu ni uongo wenye lengo la kumfitinisha muheshimiwa raisi na serikali yake anayoiongoza iletwe hiyo clip ya video muheshimiwa raisi alipotamka hayo maneno kama ipo yaani ni uzushi mtupu. Na nyinyi wenye hii blog kuweni waungwana be fair please wa si kuchapisha maoni yanayowafahisha tu kwani ukweli utabakia kuwa ukweli tu hata mkiyafuta maoni yanayoonyesha makosa kwa kilichochapishwa hapa.
ReplyDelete