Rais Magufuli Kafanikiwa Kudhibiti Maandamano na Migomo iliyokuwa Fasheni ya Huko Tulikotoka

Wakati Rais Magufuli anatoa kauli hii, wapo waliobeza wakidhani kuwa haitekelezeki. Hata hivyo, hadi sasa ukweli ni kwamba Rais Magufuli kafanikiwa kudhibiti maandamano na migomo nchi nzima. Ukiona maandamano basi ujue ni ya kuunga mkono juhudi zake anazofanya kuwaletea maendeleo wananchi. Hakuna mtutu wa bunduki wala virungu vilivyotumika kuzima migomo na maandamano. Ni mikwara yake tu pamoja na kushungulikia chanzo cha migomo na maandamano hayo.

Hongera Rais Magufuli. Kwa hili umeinyoosha nchi.
Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. HILI NI JEMBE. TENA CHAPA YA JOGOO. HANA KISIKI WALA MZIZI. HILI NI DUME LA MISSION IMPOSSIBLE. UKIMUINGIZA MAGU. JUA KAZI ITAFANYIKA. TUZIDI KUMUOMBE MUNGU AMPE AFYA NA UMURI MREFU ATUTUMIKIE. NA MCHAKATO WA REFERANDUM YA KUONGEZA KIPINDI CHA UTAWALA TUNAIANZA NA TANZANIA NZIMA TUPEWE KURA YA MAONI. MUNGU AKUWEKA JPJM. HAPA KAZI TU

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad