Akiongea na waandishi wa habari Jumatano hii mbele ya Mhe. Makonda na viongozi wa TEF, Ruge amesema anaona taratibu zilizochukuliwa na jukwaa hilo katika kufanikisha tatizo hilo linaisha halijafuata utaratibu mzuri wakitaalamu.
“Mimi sijali kama ataomba radhi au hataomba hiyo haijalishi. Ndio mimi na Makonda ni marafiki sana lakini pia ni mdogo wangu sana na mimi kama kaka yake nilitegemea tungeyamaliza haya kwanza ndio tungekuja hapa,” ameongeza.
Ruge amesisitiza kuwa wao kama Clouds hawakutoa kauli ya kufungia kuandika habari za Makonda lakini ni TEF walichukuwa maamuzi hayo na wala hawakuviambia vyombo vingine vya habari waingilie ugomvi huo.
VERY POSITIVE RUGE. HUU NDIYO UZALENDO TUNAOUTAKA NA KUIONA TANZANIA YETU INADUMISHA AMANI BAINA YA MTU NA MTU. TULIMSAIDIA MGEREZA NA TUKAWEKA ASKARI KAR (KINGS ARMY RIFFLE) MWISHO WAKE WATANZANIA WAMEZIKWA HAPO MAKABURI YA HURUMA (DODOMA) ITAKUWA SISI KWA SISI KATIKA KARNE HII YA 21.
ReplyDeleteANYA MHESHIMIWA RAISI NI KITU KIZURI ANBACHO MUNGU AMETUAMRISHA KUTAPATANISHA WATU WANAPOGOMBANIA AU KUTAFAUTIANA. NA NDICHO KILICHOFANYIKA NA HAKIHITAJI MJADALA.
SASA KUNA GWAJIMA FACTOR HAPO NI YA KUPUUZA. NA TUENDELEE KUJENGA NCHI.
KUMBUKENI NA TUKUMBUKE SISI WOTE TUTAPITA NA TANZANIA YETU ITABAKI.. NA WAKUIJENGA NI MIMI NA WEWE
SIASA NA UCHOCHEZI NA CHUKI HAZINA MSINGI NA MSSIFANYE HII KUWA ISHU YA KUANZISHA MIJADALA KATIKA MAGAZET AU MITANDAO NA RUNINGA.
TANZANIA INAHITAJI MUDA WETU KATI UJENZI WA TAIFA NA SI VINGINEVYO NI UCHELEWESHAJI NA UVIVU.
HONGERA JPJM NA HONGERA RUGE NA HONGERA MAKONDA NA WOTE MLIOGUSWA TUNAELEWA IMETOSHA.
TANZANIA KWANZA YA UPENDO NA AMANI NA UMOJA. KUHAKIKISHA TUNAILETA TANZANIA MPYA YENYE MATUMAINI NA FURAHA YA KUISHI KIHALALI NA VIZAZI VYETU VIJAVYO.
VERY POSITIVE RUGE. HUU NDIYO UZALENDO TUNAOUTAKA NA KUIONA TANZANIA YETU INADUMISHA AMANI BAINA YA MTU NA MTU. TULIMSAIDIA MGEREZA NA TUKAWEKA ASKARI KAR (KINGS ARMY RIFFLE) MWISHO WAKE WATANZANIA WAMEZIKWA HAPO MAKABURI YA HURUMA (DODOMA) ITAKUWA SISI KWA SISI KATIKA KARNE HII YA 21.
ReplyDeleteANYA MHESHIMIWA RAISI NI KITU KIZURI ANBACHO MUNGU AMETUAMRISHA KUTAPATANISHA WATU WANAPOGOMBANIA AU KUTAFAUTIANA. NA NDICHO KILICHOFANYIKA NA HAKIHITAJI MJADALA.
SASA KUNA GWAJIMA FACTOR HAPO NI YA KUPUUZA. NA TUENDELEE KUJENGA NCHI.
KUMBUKENI NA TUKUMBUKE SISI WOTE TUTAPITA NA TANZANIA YETU ITABAKI.. NA WAKUIJENGA NI MIMI NA WEWE . SIASA NA UCHOCHEZI NA CHUKI HAZINA MSINGI NA MSSIFANYE HII KUWA ISHU YA KUANZISHA MIJADALA KATIKA MAGAZETI AU MITANDAO NA RUNINGA.
TANZANIA INAHITAJI MUDA WETU KATI UJENZI WA TAIFA NA SI VINGINEVYO NI UCHELEWESHAJI NA UVIVU.
HONGERA JPJM NA HONGERA RUGE NA HONGERA MAKONDA NA WOTE MLIOGUSWA TUNAELEWA IMETOSHA.
TANZANIA KWANZA YA UPENDO NA AMANI NA UMOJA. KUHAKIKISHA TUNAILETA TANZANIA MPYA YENYE MATUMAINI NA FURAHA YA KUISHI KIHALALI NA VIZAZI VYETU VIJAVYO.
GGM / ASHANTI / BARRICK NA AKASI TUKO NAO SAMBAMBA . NA CHETU WATAKITOA. TUSHIKAMANE WATANZANIA.
Ugomvi wa makonda na nape nao umalizwe
ReplyDeleteusawa na heshima ni lazima makonda atamke kuomba msamaha kwani yeye ni nani clouds inataka mufahamu kuwa Mheshimiwa Nape ameshushwa cheo kwa ajili ya kuwapigania nyinyi clouds jinsi makonda alivowavamia. leo munakaa nae na kuumpa uso huyu hafai kabisa mchunieni tu
ReplyDeleteyaliyopota si ndwele. tugange yajayo. kina steve nyerere na mama sepetu pia tuwasamehe ndio waliomponza yule kijana ..lakini yamepota na msamaha kareem. mungu analipenda hilo ..jirudini kwa mungu badala ya kuleta mtafaruku. Mheshimiwa Raisi amepatanisha to the highest level mbele ya wageni waheshima..haifai kuendwleza mjadala.. Tuchukulie ni somo and ownership
ReplyDelete