Ikumbukwe pia kuwa utaratibu huu wa kuhodhi hadhi bila kuziendeleza imekuwa ni mojawapo ya chanzo cha migogoro ya ardhi nchini ikiwa ni pamoja na mauaji au mapigano kati ya wakulima na wafugaji.
Wako baadhi ya wajanja hukopa benki kwa kuweka dhamana ya hayo mashamba yasioendelezwa halafu kutumia hizo fedha kujenga maghorofa mjini.huu ni usanii unaofaa kupingwa kwa nguvu zote.
Rekebisha, Serikali imerudisha ardhi kwa wananchi iliyonyakuliwa na Sumaye.
ReplyDeleteNomaaaaaa
ReplyDeleteBaba NPM mawaziri hewa mama hawa wanafikiri wewe PIA utawanyamazua ili wazidi Kula shamba la Bibi..waambie Mimi Ni MAGUFULI...NA HAYA YA MCHEZO MCHEZO SIYAFIMBII MACHO..NTALALA NAO NA KULA NAO SAHANI MOJA MPAKA KIELEWEKE. UBADHURIFU NA UTAPELI HAPA NI KIKOMO...MUULIZE MOACHU NA AKASI WATAKWAMBIA BABA ZERO..KWANZA UNALIPA KODI YA ARSHI KWA HIZO EKAEI ZA UTAPELI .. NASIJIA PIA ULIKUWA BODI YA CRDB..MMETUIBIA SANA...MNAJUMOPESHA NA HAMRUDISHI SI NDIYO DILI ZENYEWE NA WEWE BODI MEMBA..HAPA UTAIOAYA PATA KWA AWAMU HII YETU..TANZANIA ITAKUWA NI BORA KOLIKO NYUMA . HAPA KAZI TU
ReplyDelete