Shamsa Ford Adhamiria Kubadilika Mana Anahisi Siku za kufa Zimekaribia

STAA wa sinema za Kibongo, Shamsa Ford amefunguka kuwa, anatamani kumfuata aliyekuwa staa wa Taarab, Mzee Yusuf kwa kuokoka kwani anahisi siku za kufa zimekaribia.

Akizungumza na Risasi Jumamosi, Shamsa alisema kuwa, kila kukicha anajikuta anatamani kuokoka na kuacha kila kitu anachokifanya, abaki kusali tu kwani ana hofu sana ya Mungu, lakini hajui ataanzaje, ingawa anajitahidi. “Nimejaribu kusali sala tano kila siku.

Kuna wakati ninasahau lakini kuna siku ninasali zote, ninaamini taratibu nitakuwa kama Mzee Yusuf, ninamuomba sana Mungu,” alisema Shamsa.

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. HUYU MSANII KWELI.
    HIVI KARIBUNI TU NAKUMBUKA ALISEMA YUKO TAYARI KUACHWA NA MUMEWE LAKINI HATAWACHA KUWA MSANII WA FILM.
    ALLAH ANAMUOKOA ATAKAE TAKA KUOKOKA ASA IWE NDIO CHANZO CHA KUOKOKA.RUDINI KWA ALLAH KABLA HAMJARUDISHWA KWA ALLAH

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad