Taarifa Kutoka Chadema Kuhusu NDEGE ya Serikali iliyotakiwa Kuja Mwezi Huu Yakamatwa CANADA


Ifuatayo ni taarifa kwa vyombo vya habari iliyotolewa na Mnadhimu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu.








Taarifa hii imekuja baada ya jana Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Zuberi Kabwe kupitia mtandao wa Twitter kumuuliza Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa kwamba nini kimetokea mpaka ndege nyingine aina ya Bombardier iliyotakiwa kuwasili nchini mwezi Julai kutowasili nchini mpaka sasa.

Profesa Mbarawa alimjibu kwamba kuna taratibu za mwisho zinafanywa kabla ya ndege hiyo kuwasili nchini, lakini itawasili.
Tags

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. WEWE LISU NI MPUMBAVU SANA, WAAMBIENI WAKASHITAKI NA NYINYI MUWATETE KAMA KAWADA YENU CHADEMA, NA WALA HATUTISHIKI KWA UZALENDO WETU. MAKINIKIA NI YETU, GESI NI YETU NA WAO WANA NCHI ZAO WAKACHIMBE HIZO DHAHABU NA GESI.

    ReplyDelete
    Replies
    1. KUMBE LISU HAMNAZO,TUKIWAKABIZI NCHI KUMBE WATAGAWA KILA KITU CHA NCHI HII KISA WAWEKEZAJI.ANAFURAHIA NCHI KUSHITAKIWA SASA YEYE ANANUFAIKA VIPI,AU NCHI IKIINGIA MADENI HALAFU YEYE AKASHIKA NCHI HAYO MADENI ATAYALIPAJE KAMA SIO KODI ZA WANANCHI.KAMA KAKOSA HOJA ZA KISIASA BORA AKAE KIMYA.

      Delete
  2. MADA YA KIJINGA KABISA KAMA TAIFA.USHAWISHI WA KIJINGA KABISA.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad