Serikali ya Uingereza kupitia kwa Waziri wa Nchi anayeshughulikia masuala ya Afrika katika Wizara ya Mambo ya Nje ya Uingereza, Mhe. Stewart Rory wamesaidia Tanzania Trilioni moja kwa ajili ya kusaidia miradi ya maendeleo nchini.
Mhe. Stewart Rory amesema kuwa msaada huo utaelekezwa kwenye masuala mbalimbali hasa katika kuboresha ubora wa elimu.
wAINGEREZA NI nDUGU ZETU WA jADI... hII INADHIHIRISHA NA KUONESHA KWAMBA BADO WANA TUJALI NA TUTAENDELEA NAO KWA KARNE NYINGI ZIJAZO. NA KATIKA AWAMU HII YETU YA TANO.. PESA TUNAZITUMIA KWA MIRADI KUSUDIWA CHINI YA UONGOZI WA JPJM.. HONGERENI SANA WATANZANIA NA HONGERENI SANA WAINGEREZA . HAPA KAZI TU.
ReplyDelete