Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Tarime/Rorya ashindwa kueleza kifungu cha sheria au kununi ya adhabu aliyovunja Esther Bulaya.
Wiki iliyoisha Esther Bulaya ambaye ni mbungewa Bunda mjini, aliwekwa Korokoroni kwa kile kilichodaiwa ni kufanya mkutano wa hadhara kwenye jimbo lisilo lake la Tarime Vijijini.
Bulaya ambaye ni CHADEMA, alienda kwenye jimbo la Heche la Tarime vijijini ambaye pia ni CHADEMA. Heche alikuwa na Ziara jimboni mwake ambapo kulifanyika mkutano Nyamongo, Walikuwa na mkutano wa hadhara, Polisi hawakufurahishwa na kitendo cha Bulaya kupanda jukwaani kusalimia na kuhutubia kwani sio jimboni kwake.
My Take;
Viongozi wetu wote wa Tanzania sasa ni wakati wao wa kupewa Semina Elekezi.
HAWA WANAOIDHINISHA WABUNGE AU RAIA KUFUNGWA FUNGWA OVYO BILA SHERIA NI HATARI .WANAANGUSHA HESHIMA ZA WABUNGE.NAOMBA WACHUKULIWE HATUA.
ReplyDelete