Timu ya Simba Yachapa Mtu 7 Bila...Okwi Akifunga Magoli Manne......

Mchezo wa #VPL kati ya Simba na Ruvu Shooting umemalizika: Simba 7 vs 0 Ruvu Shooting
Magoli ya Simba Yamefungwa na:
Okwi (4)
Kichuya (1)
Erasto Nyoni (1)
Juma Liuzio (1)
Tags

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Huo ni moto wa karatasi utamalizika muda sio mrefu

    ReplyDelete
  2. Ha ha
    Moto wa karatasi! Au wewe mwanaYanga ndio ombi lako uwe moto wa karatasi?
    Kaa hapo usubiri na utatambua ukweli.
    Huyo ndiye mnyama ndugu yangu!

    ReplyDelete
  3. Ha ha
    Moto wa karatasi! Au wewe mwanaYanga ndio ombi lako uwe moto wa karatasi?
    Kaa hapo usubiri na utatambua ukweli.
    Huyo ndiye mnyama ndugu yangu!

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad