Tume ya Uchaguzi Kenya yakiri Wadukuzi Walijaribu Kuhack Mitambo ya Tume Hiyo


Mwenyekiti wa IEBC Wafula Chebukati amethibitisha kwamba kulikuwa na jaribio la kudukua mitambo ya tume hiyo.

Hata hivyo, amesema wadukuzi hawakufanikiwa.

Muungano wa upinzani NASA ulikuwa umedai mitambo ya tume hiyo ilidukuliwa siku ya uchaguzi na matokeo yaliyokuwa yakipeperushwa katika tovuti ya tume hiyo yalikuwa 'yamechakachuliwa'.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad