Ikifika wakati tukaweza kutofautisha itikadi zetu na maslahi ya Taifa basi tutakuwa tumepiga hatua kubwa.
Mazungumzo kati ya Kampuni ya madini Acacia na Serikali huenda yangezaa matunda mazuri kama serikali ya ccm ingekuwa tiyari kuwatumia wanasheria waliobobea kama kina Lisu na wengine bila kujali uchama.
Tuweke maslahi ya Taifa letu mbele.
By chakii/Jamii Forums
Tundu Lissu Angeweza Kuisaidia Sana Serikali Katika Suala la Makinikia ya Acacia
7
August 01, 2017
Tags
Wacha utumbo...Huyu ameshakula na alikuwa anawaridhisha waliomlisha ili aweze kuleta street influence na katika chombo cha kutunga sheria . Undo fikra potevu ya kumshirikisha KIBARAKA na Kundi lake . Mh Raisi amesha unda tume na wako kazini. Fupisheni hizi Dhana na mwelekezo mbaya Mitandaonni.
ReplyDeleteWewe mbona kichekesho... Lizzu Kabobea...!!!! Kabobea Nini???.... Wacheni utani. Kwanza kuleta Jina la Akasia unatufanya tusikuelewe. Unahitaji kujua suala Zima kabla ya kuanza kuandika Mada uliwa na Habari nunsu nusu. Maswala ya Taifa Tumeyashika Sisi na Tunayashughulikia. Tafadhali Fupisha mitandaoni.
ReplyDeletelizzu Zamu ya nani leo...??? ManiFongo.. umemuona Star Msaga Sumu.... Right Down..Halafy Cholowamba halafu ndiyo wewe Lizzu. Omba U Hai sio Unyiramba.
ReplyDeleteWewe unaeleta Suala la Tundu hapa cumamaako. Tundu Lisu ashirikishwe mara ngapi? Tundu Lisu alishirikishwa kule bungeni akawa mpingaji mkuu kuhakikisha hata hii hatua ya leo ya Mazungumz haifikiwi. Huyu Lisu ni Msaliti namba moja kwa sasa kwa maendeleo ya watanzania.
ReplyDeleteLisu ni mtanzania moja hodari. Lisu ni ngao ya taifa. Lisu angekuws kwenye nvhi ya wenyeakili angekuwa Baracka Obama wa kwanza. Lisu hahitaji sifa kajivunia jina kubwa africa, saddec, africa mashariki na dunia nzima. Tanzania mbapata mpini mzuri ccm inamwangusha. Kama lisu hatapewa nembo, watanzania wote wajinga. Kuna lisu, kuna mnyika dogofogo, kuna kafulila, kuna mbowe, kuna mrema, bila kumsahau Mdee na dada wa shinyanga ambaye nzee Wasira alimdharau kabisa bila kujua wassira mda wake umepita.namsikitikia Slaa, pia namwonea huruma Zitto.hajui alilokosea.na bado hataki kijijua.Mbowe inabidi apate nembo. Si jasiri tu, lissu ni hodari, anahekima akili, elimu ambspo anachukua muda kujielimisha mwenyewe.wengi wanakuwa vionhozi hawajielimishi. Wanakuwa wababe. Africa itakombolewa na watu miamoja kama lidu. Watakaodai nchi ziendeshwe kwa kufuata sheris. Wajinga wengi ni wajinga na wapumbavu hawana uwezo na tambuzi ya kuelewa hili. Ni maskini wa fikra.ukiwa maskini wa fikra umegonga mwamba. Huwezi kimwamsha, kumwelimisha mjinga na pumbavu. Utagonga mwamba. Wengi watanzania wko huko. Wajinga, wapumbavu , vilaza. No hope.wanatembea wamkiwa wamekufa. Ni ujinga usioelezeka. Na ni aibu kwa kutokuwa na akili na mwelekeo. Unasoma point nyingi zimejaa utumbo mavi.na wengi wapo huko. Kumenuka tanzania. Kumeokotwa tanzania ndo maana kunasifiwa na mabepari. Ukoona bepari anakusigia kisha kueeka mikononi mwske hutoki. Aibu. Tunajitawala kwa vipi? Hivi nani anajua kunegotiate? Sijameona mcvm hata moja. Ni watii tu. Ningependa kuona na kusikia hizo negotiation, naamini zinatis haya. Wengi kuzungumza matatizo. Ndo maana hawaweki wazi. Kimombo na kujisikia confident kwa wazungu wengi ni shida tupu.
ReplyDeleteLisu ni Msaliti na namba moja kwa sasa kwa maendeleo ya watanzania. Hana chochote cha maana zaaidi ya kujitafutia kiki kwa kutumia jina la Maghuful. Lisu ni mwanaharakati uchwara anaetamani kuwa kibaraka wa mataifa ya kigeni, piga ua hakuna kama Maghuful.
ReplyDeleteKwani Kisutu, Lini anaende tena? Hivi sasa anaharibu upelelezi. DPI fanya kazi yako! Naa hao washikaji wake wameshamchoka. Domo lake chafu. na Aiki pia zinaanza kuvurugika. Anahitaji matibabu haraka iwezekanavyo.
ReplyDelete