Tundu Lissu Apata Dhamana Baada ya Kushikiliwa na Jeshi la Polisi Kwa Masaa 48

Tundu Lissu Apata Dhamana Baada ya Kushikiliwa na Jeshi la Polisi Kwa Masaa 48
Ndani ya mahabusu kwa saa 48 hatimaye Mwanasheria Mkuu wa Chama na rais wa TLS Mh Tundu Lissu amepewa dhamana ya Polisi majira ya saa 11 jioni.

Amepewa masharti ya kuripoti kituo cha polisi Jumatatu tarehe 28/8/2017 wakati wowote akiwa na muda.

Amedhaminiwa na mawakili wake Fred Kihwelo na Msemo.
Tags

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Huyu si wa dhamana TCRA ni lazima washirikishwe kurududi nyuma kipindi cha miaka miwili. Tundu tuko nae sambamba mpaka kieleweke

    ReplyDelete
  2. Nadhani hata hilo jina lake 'TUNDU' linamdhuru, wazazi muwe makini kwenye majina mnayotoa kwa watoto wenu.......unabeba mimba miezi 9, unamzaa mtoto wako unamwita 'TUNDU' khaa, hebu pata picha alipokuwa mdogo alikuwaje????

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad