Tundu Lissu Apewa Siku Saba na Serikali Kuomba Radhi na Kufuta Maneno yake


Tundu Lissu Apewa Siku Saba na Serikali Kuomba Radhi na Kufuta Maneno yake, Soma kwa urefu hapa chini:

Tags

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. KILA lAKHERI.MUNGU IBARIKI TANZANIA.

    ReplyDelete
  2. Tundu Lissu ni kibaraka na anatumiwa na mabepari na walowezi. Huyu Lissu tumemuachia sana mpaka akaamini kwamba hatuna tunaloweza kulifanya juu yake. nadhani anajidanganya. Wakati wake umefika sasa. ni lazima tumshughulikie huyo kijana aliekosa kujielewa na kupoteza mwelekeo.

    ReplyDelete
  3. Defamining our beloved president and associating him and accusing him on matters which he was not part of it when it happened is a crime. we are going to deal with. Lissu has to be called for initial investigation and eventual to apper in court of law. ni mpotoshaji na ni mchochezi. hatuwezi kuvumilia haya unayoendelea nayo Lissu.

    ReplyDelete
  4. Lissu anakidhi matakwa ya waliomtuma baada ya kuchukua ULAJI kama sikosei. na tukimuachia hivi anavyopotosha uma yeye na wenzake jua atakuja tuvurugia amani na kujiita mwanasheria mkuu. je huyu wakili ndiyo state attorney.. au ni mbangaizaji asiye kuwa na mwelekeo rimokrasi. ni lazima atuombe maamaha na apelekwe kinapo husika bila kimwangalia uso wake uliokosa haya wala uzalendo na vibaraka wenzake. TUMECHOKA NA USQAZI WAKO. SAFARI HII UTAJUA NA KUONA CHA MTEMA KUNI.

    ReplyDelete
  5. Hivi Watanzania tunadhambi kwa mungu, Tumelogwa, au bado tupo gizani. Je tunaelimu safi ya kujitakia mema, kuwa na maendeleo, kuwa huru, kuchangia mawazo ili tujikwamue.Au tunaamini bado Raisi hawezi kuulizwa, kukosolewa hata sababu tu ni raisi. Hivi tunajitambua wazi, ujinga tunauendeleza wenyewe. . Ni vizuri kumpata kiongozi toka ccm anayejitahidi kuibadilisha nchi yetu. Ni vizuri pia ili nchi hii ibadilike kweli, kila mmoja wetu anamajukumu. Na kati ya majukumu haya ni kumsaidia huyu huyu Raisi kufanya mabo kwa kufuata sheria zinazomlinda kila mtanzania. Kumshauri pale anapokosea, sababu kukosea ni kawaida. pia Raisi wetu si mwanasheria, anapoamua mambo ambayo yanahitaji kubobea kwenye sheria kusudi yasitupeleke matatani,hii yote ni nia nzuri na isionekane kama kashfa. Tatizo la nchi yetu ni hili, badala ya kuwatumia Wapinzani wenye nia nzuri na wanalenga kuzamia kupata undani ili Taifa lisiingie tena kule tulikokutoka linawaadhibu Wapinzani, wasomi wenye uwezo na moyo mzuri wasiomwogopa raisi. Badala yake kuwachagua CCM na wengi wao hawana uwezo, Waoga, na wanafanya usiri kwa mambo hayatakiwi yawe ya kusiri. Haya ni mambo yanayotugusa Watanzania wote.
    Pia Waliotupeleka hapa tulipo ni Maraisi wawili wa awamu zilizopita na mpaka leo Mnawaamini kuyatatua matatizo ambayo ni wao wahusika. Hamjakaa nao kuwauliza ilikuwaje mkaipeleka nchi hii hapa ilipofikia bila kuwachukulia wahusika sheria. Mmewapa kinga. Je, Watanzania wenye elimu, wenyemasikitiko, wanawaona CCM hiyohiyo inaweka vijisiri, haiweki mambo hadharani, Watu kama Lisu na Zitto lazima waibuke badala ya kunyamazia .Halafu mnawasweka ndani na tuhuma nyingi tu. Hivi Watanzania nyonyi si ndumila kuwili, mkitaka ukweli, maendeleo, uwazi kwa nini mnashindwa kulitetea hili. Nazungumza hili kwawale wenye elimu za juu si hawa wengi wa mittani wanaopiga makofi hata kitu cha ujinga na upumbavu. Inabidi nchi iwe na organization wa wasomi , wanasheria, na wenye uwezo wa kufikiri kujadiri masuala kama haya ili tujue serikali yetu haitatupeleka kule tena, na kuhakikisha mikataba inayosainiwa sasa haina makosa ambayo yatatupeleka pabaya, hii ni haki ya kila Mtanzania. Hii ni mali ya kila Mtanzania. Hili ni deni la kila Mtanzania, Watoto wenu na vijukuu. Kama mnajua kufukiri, na mnauchungu na nchi yenu, hamngeunga mkono ndugu lisu kunyanyaswa namna hii. Wengi wanaozungumza wanasiasa wa vyama vingi ukiwafuatilia wanaongea utumbo. Wengi hawachangii kabisa lakini wanalipwa, ni hawa wanaorudisha maendeleo nyuma sababu elimu zao ndogo, au waoga, wengine wanajipendekeza, wengine wanahusika khujumu au walihusika inawafanya washindwe kutenda kazi vipasavyo. Inaumiza taifa na si Lissu peke yake na familia na si Chadema. Ni wapumbavu na Wajinga ndio waumiao bila kujijua. Na hii ni hatari kimtazamo wangu kinchi.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad