Tundu Lissu na Chadema Wanafaidika na Nini Kuzuiwa Kwa Bombadia na Makinikia?

Najiuliza nishindwe kupata majibu au hawa wenzetu wa Chadema wakiongozwa na Lissu sio watanzania?

Kiukweli wanasheherekea sana kusikia kwamba "Bombadia" limekamatwa na litapigwa mnada na wanaotudai, hivi likipigwa mnada upande wa chadema hasa Lissu anapewa faida gani?

Mbali na bombadia, kutwa kucha wanapiga kelele kuhusu makinikia na wazi kabisa chadema hawataki serikali ishinde vita hii ya ufisadi kiuchumi
Hivi wanafaidika na nini?

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad