UKWELI: Umaarufu wa MTOTO wa Diamond ( Tiffah) Umeporomoka

Kama mnakumbuka ilifika hatua Diamond akatamba kwenye vyombo vya habari kuwa Mtoto wake ndiye anayeongoza kupata sjui ndio viewers sjui ndio followers. Ilifika hatua hata kumuona inabidi watu walipie hela. Leo hii amepotea hata utafikiri hayupo

Na hata Leo no birthday Yake lakini hata haijulikani na hakuna mbwembwe kama enzi zile

Kweli watu hawapendi ujinga!!!!

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. MUWEKA MADA HII MBONA HUSOMEKI,HACHANA NA HUYO MTU YY KISHATOKA KIMAISHA JIANGALIE WEWE NA FAMILIA YAKO..AU NDO WIVU WAKIMAISHA SIO KIHIVYO BASI..KAMUOMBE AJIRA ATAKUPA TU DOGO HANA ROHO YA KOROSHO KM YULE WA TEAM NYINGINE UBISHOO NA SELFISHNESS..UMEELEWA KAMA HUNA CHA KUANDIKA HUMU KAA KUMYA HACHA UNAFIKI..ZAKIKE HIZO BABU AU BIBI?????

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad