Utata Polisi Aliyepotea Akutwa Amefariki Pembezoni mwa Ziwa Victoria

Utata Polisi Aliyepotea Akutwa Amefariki Pembezoni mwa Ziwa Victoria
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kagera Augustine Ollom ameelezea tukio la Koplo Mussa Salum Msanya kutoweka nyumbani na baadae kukutwa mwili wake ukiwa kwenye maji ya Ziwa Victoria siku mbili baadae.

Kamanda Ollom ameeleza kuwa tukio hilo limetokea August 26, 2017 majira ya saa 6:20 mchana ambapo mke wa Askari huyo alifika kituoni kutoa taarifa kuwa mumewe hakurudi nyumbani tangu alivyoondoka.

>>>”Siku ya August 26, 2017 majira ya Saa 6:20 mke wa Koplo Mussa alifika Kituo cha Polisi kutoa taarifa kwamba mumewe aliondoka tangu asubuhi akitokea nyumbani kwake Kambi ya Polisi na hakuweza kurudi…” – RPC Ollom

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad