Video: Lisu Waungana na Mawakili Kugoma Kufanya Kazi Baada ya Ofisi ya Mawakili Kulipuliwa

Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu nchini (LHRC) chaungana na wanachama wa TLS kulaani tukio la ofisi za IMMMA Advocates kupigwa bomu.

Kwamujibu wa Mkurugenzi wa Kituo hicho Hellen Kijjo Bisimba amesema hatua hiyo inaashira kuonesha kutoridhishwa na kitendo hicho na kwamba vyombo vya dola vinatakiwa kufanya uchunguzi wake kwa haraka na kutoa majibu yaliyosahihi.

Hata hivyo Rais wa TLS kwaniaba ya mawakili wenzie Tundu Lissu ameeleza kuwa hawataki kuona Tanzania ya Mabomu kwakuwa vitendo vya namna hiya na vile alivyoviita vya kikatili wamekuwa wakifanyiwa mawakili bila kujali kuwa wana ulinzi kisheria.


 
Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hatukuona tija ya kugoma tumepiga kazi kama kawa usituletee siasa bear in mind kuwa we are learned brothers and sisters huwezi kutuongoza kwa whims zako period.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad