Agizo hilo limekuja baada ya hivi juzi msamariamwema kutoa taarifa za uwepo wa muhusika wa dawa za kulevya na Askari walipofika kwenye Hotel wakamkamata na kupewa Rushwa baada ya muda mtuhumiwa akaachiliwa na kurudi kwenye Hotel na kufanya fujo kumtafuta alietoa taarifa na baada ya Makonda kufika na kuangalia Camera za CCTV wakawabainu Askari hao.
Pamoja na hayo amesema wapo Askari waliomkamata Mwananchi akiwa Mpenzi wake kwenye Gari kisha kuwapiga Picha za Utupu na kuwalazimisha watoe kiasi cha Million Tano iliwasisambaze picha hizo kitendo ambacho ni kinyume Sheria ambapo Makonda amesema hawezi kuruhusu vitendo hivyo votendeke kwenye Mkoa wake na kueleza kuwa anataka Sheria na Haki vitendeke.
Makonda kubaini uwepo wa Askari wa Uwanja wa Ndege wanaoshirikiana na Raia wa China kusafirisha Kobe na Wanyamapori na Askari wanawabambikia kesi wananchi ikiwemo wale wanaowakamata watu kwenye sehemu za mapumziko.
Amesema hatokubali kuona Askari wachache wanaotumia Magwanda kuwanyanyasa Wananchi na kuchafua taswira ya Jeshi la Polisi na kufanya Wananchi kushindwa kutoa ushirikiano. VIDEO:
China sugu. China wexi. China waharibu mazingira. Ccm omeingia mikataba mikubwa na wachina. Wachina wa atoa vimisaada serikalini, kwa viongozi wakuu wa nchi do maana mbashindwa kuwazatiti.wamejengea viwanda vya hali ya chini, jengea wakuu nyumba, toa furniture hii ni rushwa. Na bado mnawaamini bandarini. Hakuna mtu mwenye kiburi sugu kama mchins. Anakutafuna huku akichekelea. ni mikatsba mingine mikuu ya kuiangalia. Wataisafisha Tanzsnia kwa kuwapa miradi mikuu. Watsiba madini na kutorosha bure. Mna askari vibaraka wanatumiwa kupitidhia hivi vitu. Nchi hii ulinxi dhida. Msfunxo kwa polisi wengi, duni. Watamnyenyekea mzungu na mchina na kumkamata Lisu kila diku. Shame on uongozi.
ReplyDeleteMdau uliandika hii message ukiwa baa au.
DeleteMdau jifunze kukiandika kiswahili fasaha maana duh utafikiri amepita bata vile
ReplyDelete