VIDEO...Tundu Lissu Awalipua Siro na Kapilima..Adai Kuna Vijana Wametumwa Kumfatilia Maisha yake

Leo Tundu Lissu ametoa ya Moyoni kwamba anawindwa na kufuatiliwa na vyombo vya Usalama. Amewasihi Vyombo vya Usalama vipambane na Wahalifu sio Wanaoikosoa Serikali

"Naomba kabla sijaanza Mazungumzo yangu nimuombe Mkuu wa idara ya Usalama wa Taifa anaitwa Kipilimba au Inspekta Generali wa Polisi Simon Sirro, wale vijana ambao wamewatuma na kwa wiki tatu mfululizo wananifuata kila nilipo wanaotembea na gari ya Toyota premio namba T460CQV, jana niliwakaba Kanisani St. Peter's.

Wakubwa hawa wa Vyombo vyetu vya Usalama wawaelekeze watumishi wao watumie muda na rasilimali za nchi hii wafanye kazi ya kupambana na Waharifu sio kupoteza muda wao na pesa zetu kuhangaika na raia ambao wanatimiza wajibu wao wa kuiwajibisha Serikali iliyoko Madarakani.

Kwahiyo Afande Sirro na Afande Kipilimba, fanyeni kazi ya kupambana na Wahalifu na tuachieni kazi ya kuwaajibisha walioko Madarakani kwa mjibu wa Sheria za Tanzania". VIDEO:

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. But isnt there any way of getting rid of this annoying hungry face??
    He has irritated many people enough
    The government apparatus need now to close their eyes and sort him out

    ReplyDelete
  2. Sina uhakika na sheria za Tanzania zipo vipi. Lakini kama hiyo taarifa ya Lisu inaonekana akiwavua kanzu zao (uncover the tittle of the undercover police like their car and car registration number and even he mentioned the name of the chief security officer. Si fikirii kabisa hii tabia anayoyaenda hayo Lisu ni sahihi hata kidogo. Ni moja kati watu wa hovyo kabisa kumsikiliza. Anafikiri ana nguvu yoyote ya kuiwajibisha serikali na kwanini asijiwajibishe yeye mwenyewe kwanza kwa kitendo chake cha kutetea wezi wa dhahabu waendelee kuwaibia watanzania. This guy need to shutfuckoff his mouth talking nonsense every time he talk.

    ReplyDelete
  3. Serikali ipo kumlinda yeye si vinginevyo, ni kwa usalama wake , wapo Watu wengi hawapendezewi na kauli zake za upotoshaji kila kukicha

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad