Vyombo vya Habari Vyautupilia Mbali Upatanisho wa RC Dar na Ruge....Vichwa vya Habari vya Magazeti ya Leo..



Naona vyombo vya habari jana vilivyo vingi mda wa habari hawajarusha tukio la upatanishi kati bwana ruge na bwana makonda ni kwamba hawajaridhi bado, 

Maana haiingii akilin kuvamia wavamie kimya kimya halafu eti wakapatishiane majukwaani
Huku mvamiaji akiendelea kuto kiri kosa lake , naona wana habari hawako tayari kugeuzwa mazwazwa.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad