Wakili wa Tundu Lisu Aiomba Mahakama Kumfikishwa Lisu Mahakamani

Wakili wa Tundu Lisu Aiomba Mahakama Kumfikishwa Lisu Mahakamani na Polisi
Wakili wa Tundu Lissu, Peter Kibatala ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwa wanauomba upande wa Serikali, ufikishe ujumbe kwa Jeshi la Polisi ili wamfikishe Lissu Mahakamani hapo.

Kibatala ameyasema mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Godfrey Mwambapa baada ya Wakili wa Serikali, Mutalemwa Kishenyi kusema mshtakiwa hayupo anashikiliwa na Jeshi la Polisi, hivyo anaomba kesi hiyo iahirishwe hadi Jumatatu August 28, 2017.

Baada ya kueleza hayo, wakili Kibatala akamuomba Kishenyi afikishe ujumbe kwa Polisi kwamba Lissu afikishwe Mahakamani ambapo kesi iliahirishwa hadi August 28, 2017
Tags

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kibatala, Kama wewe ni Mzalendo! basi itakuwa heri na Bora kujiweka mbali na huyu muharibifu wa Taifa... Huu Ni ushauri wangu kwako.. Huyu ana mengi nyuma yake na anatumiwa na amekuwa ni kibaraka wa Mabwana zake ambao tunafanya nae uhakiki mpaka kijulikane. Na leseni yake ya kupractice pia tunaiipitia na ikibidi ya kwenu pia tutafanya hivyo.

    Ushikaji katika hili na sapoti HAPANA.
    MASILAHI MAPANA YA TAIFA NDIYO KITU CHA MBELE.

    ReplyDelete
  2. wewe Anonymous, ulietuma ujumbe leo, kuwa na akili huo uzalendo gani unaotaka.be wise dont be stupid, Uhakiki gani unaouzungumzia, nchi hii inaelekea pabaya ukisema ukweli unakamatwa, japoulichokisema ni cha ukweli,amakweli ukweli unauma.serikali inasemauongo watu wakae kimya. dont be a fool.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hi Bro, Seems you are from the other side affiliatted to the CDM party. Being wise and act with egilty is what Lisu could have done. Unfortunately lisu had been the opposite and u. Tanzania is a nation with more wasomi kuliko huyu kijana lisu na wewe the way you look at things. We deserve to have peace and we need to live in solidarity and Patriotisms. nCHI HAILEKEI PABAYA IKIWA NYINYI HAMTOANZISHA HUU UPUUZI WENU WA KULISHWA NA KULA ULAJI HALAFU MUANZE KUPIGA NGOMA JAPO HAMNA WACHEZAJI. TAFADHANI TUMI UPSTAIRS KWENYE NYEWELE.

      SERIKALI INASEMA UKWELI NA SISI TUNAJUA KINACHOENDELEA NA TUNADEAL NACHO. KAMA NI NDEGE NA MENGINE MWNGI TUNAYASHUGHULIKIA TUNAOMBA UVUMILIVU WENU.

      Delete
  3. Ukweli gani anaousema Lisu? Huyu Lisu anapaswa kipewa somo la uzalendo kwa either kuitumikia JKT au lupelekwa kutumikia kufungo kitakachoambatana na kazi ngu na kumlaza kwenye chumba maalum huko gerezani kilichofugwa mbu maalum wa maumivu. Lisu inanidi lazima aende jela au gereza maalum lenye wagungwa washenzi.

    ReplyDelete
  4. Kuna wakati wa zile enzi kunaitwa Kizuizini hapo ndipo mahala stahiki kwa lisu. na muda wake ni usio na kikomo.. Huyu ni Hatari kwa Amani ya Nchi yetu. Uchochezi endelevu ndio aliokuwa nao na Hajali mradi amekula ulaji yiuko Radhi kuendeleza sera za Waliomtuma... Tutakula nae sahani moja mpaka kieleweke. ... Tulimfudisha lakini Hafundishiki. Tulimsihi lakini Hasikii. sasa tuko nae mbele kwa mbele.
    Masilahi ya Nchi na Amani... NI BELE KULIKO CHOCHOTE.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad