Watanzania Wapata Shavu la Kwenda Kucheza Manchester

Watanzania Wapata Shavu la Kwenda Kucheza Manchester
Watoto wawili wa Kitazania wenye umri wa miaka 12  Daudi pamoja na Malimi wameondoka jana usiku nchini na kuelekea nchini Uingereza kujiunga na Manchester City Academy

Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo, Mhe. George Harrison Mwakyembe amefunguka na kusema kuwa kama vijana hao watafanikiwa katika majaribio hivyo watakuwa ni Watanzania wa kwanza kujiunga na Academy hiyo.

Wamekwenda kujiunga na Manchester City Academy kwa ufadhili wa kampuni ya TECHNO Tanzania. Wakifaulu majaribio ya kujiunga, watakuwa Watanzania wa kwanza kujiunga na academy hiyo na baadaye kuchezea Manchester City" alisema Waziri Mwakyembe


Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad