Wazungu Wana Akili zaidi Kuliko Makabila Mengine Duniani...Sisi wa Mwisho.

Mpaka mwaka 2017 huu au karne ya 21 waafrika tunahangaika na mambo madogo sana ambayo wazungu walihangaika nayo miaka kenda na kenda huko nyuma. waafrika tunapigania haki ya kutambulika duniani. huu tayari ni udhaifu. ukiona mwanamume anataka atambulike kwa mkewe au watoto wake kuwa yeye ndo baba au naye ni baba basi ujue kuna shida. tumebaki na kuhangaika na vitu vya kipuuzi.leo mtu anahangaika ku prove kuwa Waisrael asilia ni weusi. so what? mpaka mtu analazimisha au hangaika kusema Yesu Kristo alikuwa mweusi. ok alikuwa so what?
wazungu au watu weupe ndo wamevumbua.

1.Modern Agriculture
2 Ceramics
3 Clock making
4 Clothing manufacturing
5 Communications
6 Computing
7 Criminology
8 Cryptography
9 Engineering
10 Food and drink
11 Household appliances
12 Industrial processes
13 Medicine
14 Military
15 Mining
16 Musical instruments
17 Photography
18 Publishing firsts
19 Science
19.1 Physics
19.2 Chemistry
19.3 Biology
19.4 Mathematics and statistics
19.5 Astronomy
19.6 Geology and meteorology
19.7 Philosophy of science
19.8 Scientific instruments
20 Sport
21 Transport
21.1 Aviation
21.2 Railways
21.2.1 Locomotives
21.2.2 Other railway developments
21.3 Roads


Kama yupo mpingaji hapa atuoneshe yale ambayo tunaweza yasimamia hasa hasa sisi. kuna mtu atakuja hapa na kuanza kulaani na kutukana wazungu hawa makafiri n.k huku anatumia simu,kompyuta, magari yao,nguo walizoshona wao,viatu vyao,miwani waliyogundua wao,saa,feni,ac,umeme walivyogundua wao. ndo unagundua NI UNAFIKI TU WA MWAFRIKA na Baadhi ya Makabila ya KIASIA.

tuwapinge wazungu kweli kweli kwa kubuni vitu vyetu wenyewe na tuavhe kutumia vyao.wana nguvu sababu wao wana akili kutuzidi. wakati sisi tunafikiria zaidi kuoa na kuoana au kuazaana wao wanafikiria namna gan watabadilisha maisha ya wanadamu. hata asilimia 80 kama si 100 ya michezo maarufu duniani asili yake ni huko. au wao wameendelea nayo zaidi kuliko sisi.

waafrika hatuna akili sana kama wazungu au tuna tatizo sehemu flan. angalia chaguz zetu,angalia serikali zetu,angalia vipaumbele vyetu, angalia maisha yetu, angalia tuavyoishi kwa kuwasingizia wazungu kila kitu.

ile wao kuja kututawala tu tayari maana yake sisi hatuna akili wao wanazo nyingi imagine walikuja wangapi wakatutawala sisi wenyeji wengi kwa kuweka mifumo mbalimbali? ukisema wanatugombanisha basi ujue pia ni sababu wao wana akili kuliko sisi wapumbavu tunaogombana wenyewe kwa wenyewe. najiuliza waafrika tuna tatizo gani?

nimewaza mambo haya kwa uchungu sana na nikaja pata jibu moja tu kuwa wazungu wao wana akili zaidi kuliko sisi. miaka 50 baada ya kujitawala bado tuna mambo mengi ambayo tuna tegemea kutoka kwao au waliyotuachia miaka hiyo mingi. na bado kuna mtu anakuja kuning'iniza korodani zake tu mwili hapa anasema wafrika waafrika ukimuuliza tunafanyaje kujitoa kwenye utegemezi... hana namna isipokuwa ni kudai haki ya mtu mweusi. HAKI HAIDAWI, INAKUWEPO TU. kama ukiona unadai utambulike basi ujue we hutambuliki. leo hii magufuli au lowassa akienda sehemu na kutaka watu wamjue yeye ndo lowassa au magufuli ujue kuna shida sehemu. inatakiwa tu akienda sehemu watu wamfaham.
Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Tutawezaje kugundua. Wakati hatupendi hata kujishugulisha kwa kufanya kazi. hataaa kuwaza tu. Nchi zetu zenyewe zina matatizo lukuki bado tunashindwa kutatua. Mtu amekalia anawaza kufisadi. Kuiba. kufirisi.akajishehenie. Na jumuiya yake imnyenyekee na kumuinua juu. Kwanza usafi tu wa miundo mbinu tabu unatushinda. Mtu mweusi ni kazi kweli kweli na kila pahari anatambulika hivyo na wanasema 1Q ni mgando. akili ni ndogo mmmmh. Ukoangalia ni kweli. Mzungu aweza kufanya kazi kwao kwa kujitolea tu bila hata malipo. Na wala hawazi kufisadi Mpka haelewi afanyie nini?. Na saa zote wanawaza mataifa yao yawe juu kwa kila nyanja. kiuchumi,Elimu, huduma za Afya,miundo mbinu, na mambo mengineyo. Na hawayapendi makundi au magenge yanayojifanya kujipenyeza hata kwa kisiasa ili kuliangusha Taifa kwao ni sumu. kama pana maendeleo wao lao ni moja tu. Akili zao aziwazi maabaya sana.bali mazuri zaidi. Sisi mwenzako anakuja anaitaji hufuma. utoe kidogo dogo upate uduma.Na bado Wafrica wengi wana mambo ya kiuchawi nayo yanawasumbua. Wakati wenzetu hawana walisha yaacha karne na karne baada ya kuona hayana maana

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad