Vyombo vya habari nchini vinasema alitorokea kupitia Cambodia na Singapore, kabla ya kusafiri hadi katika taifa hilo la ghuba ambako kakake Thaksin - waziri mkuu wa zamani pia, anaishi uhamishoni.
Yingluck Shinawatra alikuwa anakabiliwa na kifungo cha hadi miaka 10 gerezani iwapo angepatikana na hatia ya uhalifu kutokana na kuzembea kazini katika kesi kuhusu mpango wa ruzuku kwa wakulima wa mpunga unaosemakana kuchangia ushindi wake katika uchaguzi.
Ingekua na hapa mafisadi na wauza unga wanafanyiwa hivyo mbona wangenyooka.. Maana huyu siyo wizi bali ameponzwa na uzembe tu da!!
ReplyDelete