Young Dee ashindwa Kuwa Karibu na Mtoto Wake Kisa… (Video)
0
August 02, 2017
Msanii wa muziki wa hip hop, Young Dee amedai kwa sasa anashindwa kuwa karibu zaidi na mtoto wake kutokana na kubanwa na shughuli nyingi za muziki. Rapa huyo amekanusha kumtelekeza mtoto wake huyo pamoja na mama yake kama baadhi ya vyombo vya habari vinavyoripoti.
VIDEO:
Tags