ZITTO Kabwe Jifunze Kwa Sugu....Amwaga Vijembe Kwa Makonda, Gambo na JPM Mbele ya Waziri Mkuu

Akihutubia katika mkutano wa hadhara wa Waziri mkuu mbunge wa Mbeya Joseph Mbilinyi alitoa ya moyoni na kuwasilisha ujumbe kwa namna ya kipekee mbele ya Waziri Mkuu Majaliwa

Katika hili Zitto Kabwe anatakiwa ajifunze kwa Sugu kusema ukweli mchungu mbele ya wakubwa. Kwani Zitto aliishia kumsifia Magufuli alipokuwa kigoma badala ya kumweleza ukweli mchungu. TAZAMA VIDEO:

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kitu gani Zito cha kujifunza kutoka kwa Sugu? Yale mavi yake aliongea mbele ya waziri mkuu yanawasaidia nini wapiga kura wake? Kuongelea masuala ya vyeti hao wenye vyeti ndio walioiangamiza hii Tanzania kwa ufisadi. Yaani analeta masihara mbele ya waziri mkuu na siasa ghasi za Chadema. Zito kabwe kamwe hawezi kuwa mpumavu wa siasa za majungu na vijembe za cha chaema. Siasa za Vijembe vya kujitakia umaarufu zitawasaidia nini watanzania. Act wazalendo wanasera nzuri za maendeleo kuliko vyama vyote vya upinzani na ndio maana hawana wakati wa kuongea utumbo mbele ya viongozi wa taifa.

    ReplyDelete
  2. Kitu gani Zito cha kujifunza kutoka kwa Sugu? Yale mavi yake aliongea mbele ya waziri mkuu yanawasaidia nini wapiga kura wake? Kuongelea masuala ya vyeti hao wenye vyeti ndio walioiangamiza hii Tanzania kwa ufisadi. Yaani analeta masihara mbele ya waziri mkuu na siasa ghasi za Chadema. Zito kabwe kamwe hawezi kuwa mpumavu wa siasa za majungu na vijembe za cha chaema. Siasa za Vijembe vya kujitakia umaarufu zitawasaidia nini watanzania. Act wazalendo wanasera nzuri za maendeleo kuliko vyama vyote vya upinzani na ndio maana hawana wakati wa kuongea utumbo mbele ya viongozi wa taifa.

    ReplyDelete
  3. Tofauti ni kwamba Zitto Kabwe sio mtu-wa-kubadilishia gia angani, na wala sio 'rapa' a.k.a. 'msema-hovyo' kama sugu asiyejitambua, na ndio maana akazaa na yule mwanamke asojitambua kama yeye.......hovyoooo. Baada ya kuropoka-aloyaropoka akapata faida gani?? Jimboni kwa Zitto kumezinduliwa mradi mkubwa wa maji safi na salama.........unalitambua hilo??

    ReplyDelete
  4. Sugu kaleta maendeleo jimboni kwake kabla Raisi hajaenda. Zito kamwinamia Raisi kusudi apate na akamwagia sifa. Hii ndo tofauti kubwa. Unaweza kuwa rapa ukatimiza kazi vizuri. Acheni upuuzi.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad