Zitto Kabwe: Nimeshtushwa na Tukio la Bomu Kwenye Ofisi ya Mawakili wa IMMMA Advocates.

Nimeshtushwa na tukio la bomu kwenye ofisi ya Mawakili wa IMMMA Advocates. Wakati tunaendelea kupata Taarifa zaidi nawasihi wanasheria wa kampuni hiyo kuwa na moyo wa subra na ninawapa pole Sana.

Kuna haja ya uchunguzi Huru kuhusu matukio ya aina Hii kwani yanamwelekeo fulani. Tukio kama hili lilitokea Kwa Wakili Omar Said Shaaban ambaye alikuwa anamtetea Ndugu Mansour Yusuf Himid. Sasa aina hiyo hiyo ya uhalifu imefanywa dhidi ya ofisi anayofanya kazi Wakili Fatma Karume ambaye ni mpwa wa Mansour. Tusiache mambo haya kuzoeleka hata kidogo.

Tags

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Zito acha investigation ifanye kazi yake.Keep your opinion to yourself. Unless una facts si busara kutumbukiza options zako(in public)
    Kwenye jambo ambalo ni sensitive kama hili na yet bado nu pre mature.

    ReplyDelete
  2. Hivi wewe Zitto ni ballistic expert? tayari umefanya uchunguzi na kuthibitisha ni bomu? Acha ulipyoto huo. Spare your opinion tupe facts proved beyond shadow of doubt kama unazo.

    ReplyDelete
  3. WE ANGRY FACE. HATUTAKI MAWAZO YAKO YA KIPUUZI. WAACHE WENYE KAZI ZAO WAINGIE KAZI.
    MBONA UNAJITIA TIA KAMA US..ZI WA NGOMANI. PUMZIKA HUKO TWITA NA FWEZI BUKU.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad