Baadhi ya Wachungaji Wachukizwa na Wimbo Mpya wa Diamond Kutumia Jina la "Hallelujah" Waomba Ufungiwe


Kutoka facebook ameandika Mchungaji Zakayo Nzogere:

"Tafadhali tusaidiane kufikisha ujumbe huu...
TUNATAKA JUKWAA LA WAKRISTO TANZANIA LINALOJUMUISHA BARAZA LA TEC, CCT NA CPCT LITOE TAMKO DHIDI YA WIMBO WA "DIAMOND" AMBAO AMETUMIA NENO "HALLELUJAH" WAKATI MAUDHUI YA WIMBO WAKE HAYAENDANI NA MAADILI YA KIKRISTO.
MATUMIZI YA NENO HILO KATIKA WIMBO HUU YANAUDHI.
PIA NAOMBA WAZIRI WA UTAMADUNI, SANAA NA MICHEZO AFIKISHIWE UJUMBE HUU.
PIA TUNAITAKA BASATA IZUIE WIMBO HUU HADI MANENO HAYO YAONDOLEWE.
CC. Bishop David Batenzi, Bishop Tarcisius Ngalekumtwa, Bishop Alex Malasusa"
Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Diamond ndugu yangu unazidi kutoka katika dini yako ya Kiislamu.yaani mpaka umeimba Hallelujah.kwanza umevaa msalaba sasa nyimbo.nakuombea kwa Allah uache tamaa za kidunia.
    utapata mashabiki wengi watakaokutoa imani yako ya dini.pole sana kaka.ila tu anza kujifikiria.ukishindwa kupata jibu muulize MZEE YUSUF.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad