Bob Junior Ajipanga Kuachia Ngoma Mpya

Bob Junior Ajipanga Kuachia Ngoma Mpya
Msanii wa muziki Bongo Bob Junior  baada ya kueleza kutofurahishwa na kitendo cha Diamond Platnumz kudai wanadai wanayo kolabo  kitu ambacho si kweli, msanii huyo amepanga kuachia ngoma yake.

Msanii huyo ameeleza kuwa anatarajia kuachia ngoma yake mpya yenye hadhi ya kimataifa na ngoma hiyo ni mwanzio tu kwani amejipanga kutoa albamu.

“Natarajia kuachia video ya ngoma yangu mpya ya ‘Give Me’ yenye hadhi ya kimataifa yani huko utakutana na viuno vyote vyote hadi kuino mbatata,” amesema msanii huyo.

Pia akaongeza kuwa “Sasa amejipanga na baada ya ngoma hiyo anatarajia kutoa ngoma nyingena na ana albamu mbili zinakuja.”



Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad