HomeSiasaBREAKING NEWS: Waziri wa TAMISEMI George Simbachawene Aliyetajwa Kwenye Ripoti Amejiuzulu BREAKING NEWS: Waziri wa TAMISEMI George Simbachawene Aliyetajwa Kwenye Ripoti Amejiuzulu 0 Udaku Special September 07, 2017 Taarifa :Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - TAMISEMI, George Simbachawene amejiuzulu. Waziri wa TAMISEMI George Simbachawene ametangaza kujiuzulu nafasi yake kutokana na kutajwa kwenye ripoti za uchunguzi wa tanzanite na almasi Tags Siasa Newer Older