Breaking News..Diamond Platnumz Akubali Rasmi Kuwa Mtoto wa Hamisa Mobetto ni Wake...Adai alitaka iwe Siri
3
September 19, 2017
Diamond Platnumz leo katila kipindi cha leo tena kupitia Clouds Fm amefunguka mengi kuhusu hamisa na yeye na kikubwa amekubali live kuwa mtoto wa Hamisa ni wake na alikibaliana na Hamissa iwe siri yao lakini Hamissa Mobetto ameshindwa na kuanza kusambaza picha na kutuma watu wamtukane Zari mtandaoni....
Tags
POLE YAKO HAMISA!!! UKITAKA KULA NA KIPOFU USIMGUSE MKONO!!!
ReplyDeleteHamisa wewe ni mjiga sana ugekaa kimya ungepate vitu vingi kutoka kwa Diamond sasa wewe umetaka sifa umekosa mengi.
ReplyDeleteKakosa nini yule mtoto ni wa haram kama watoto wa zari
ReplyDelete