Breaking News..Diamond Platnumz Akubali Rasmi Kuwa Mtoto wa Hamisa Mobetto ni Wake...Adai alitaka iwe Siri

Diamond Platnumz leo katila kipindi cha leo tena kupitia Clouds Fm amefunguka mengi kuhusu hamisa na yeye na kikubwa amekubali live kuwa mtoto wa Hamisa ni wake na alikibaliana na Hamissa iwe siri yao lakini Hamissa Mobetto ameshindwa na kuanza kusambaza picha na kutuma watu wamtukane Zari mtandaoni....

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. POLE YAKO HAMISA!!! UKITAKA KULA NA KIPOFU USIMGUSE MKONO!!!

    ReplyDelete
  2. Hamisa wewe ni mjiga sana ugekaa kimya ungepate vitu vingi kutoka kwa Diamond sasa wewe umetaka sifa umekosa mengi.

    ReplyDelete
  3. Kakosa nini yule mtoto ni wa haram kama watoto wa zari

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad