Diamond Platnumz Atajwa Mtanzania Pekee Kwenye List ya 100 Most Influential Young Africans

Diamond ndo mtanzania pekee alietajwa kwenye 100 most influential young Africans 2016 katika list iliotoka Leo katika kipengele cha sports and entertainment.
Kutoka East Africa, Uganda amechomoza Anna kansiime, huku Kenya wakichomoza lupita nyong'o na mtangazaji wa focus of Africa kutoka BBC anaitwa Sophie ikenye


Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. hadithi njoo utamm kolea.

    ReplyDelete
  2. Kiba je ni wangapi naona wanasiasa sasa hivi watapinga

    ReplyDelete
  3. Kiba hajushughulishi na vitu visivyokuwa na ulazima kwale.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad