Diamond Platnumz...Sifikirii Kumuacha Zari..na Ikitokea Kaniacha Nitapiga Magoti Mpaka South Africa

Diamond Platnumz ameweka wazi kuwa alishaongea na Zari na kumwambia kuhusu kuwa na mtoto na Hamissa Mobetto na amemsamehe, na ikitoa Zari Akamuacha basi atampigia magoti kuanzia Tanzania mpaka South Africa kumuomba msamaha...

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. YES KULA TANO DIAMOND!!!

    ReplyDelete
  2. Wenye wivu wajinyonge!!!!!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  3. vichekesho na vioja then kama ni hivo kwa nini hadi unazaa na mwingine alafu upige magoti wewe usicheze watu akili mwenye lake haachi na zari akikubali amekwenda na maji

    ReplyDelete
  4. Ni michosho, ya mwanaume suruali mkononi. Leo vituko hivi kesho vie. Zari achane nae huyu hamna mpango wa kuwa na mtu kama huyu, bado anaendeleza mipango yake ya suruali mkononi, Hata atembelee magoti mpaka south ni bure tu, kwa kuwa ndio tabi yake, bora Zari ajifanyie zilipendwa achane naye kabisaaaa, kabal ajafumua lingine alafu Zari akaendelea onekana mjinga wake, kama si zumbukuku wake, this is stopid

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad