Godbless Lema Afunguka "Tundu Lissu Majashambuliwa na Majambazi"

Wakati Tundu Lissu akiendelea kupokea matibabu katika hospitali ya Nairobi nchini kenya, baada ya kupigwa risasi na watu wasiojulikana mjini Dodoma wiki iliyopita, bado hakuna taarifa rasmi ambayo inaeleza ni nani amefanya tukio hilo la kinyama.


Jumatano hii Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema amefunguka kwa kudai kuwa tukio la Lissu kushambiliwa lilipangwa na kikundi cha watu na sio majambazi kama baadhi ya watu wanavyodai.

Suala la Mh Tundu Lissu ni organized, ni mpango ambao umepangwa, Mh Lissu hajashambuliwa na majambazi, Mh Lissu alianza kusema anafuatiliwa siku nyingi na hata ukiangalia hilo jaribio la mauwaji yale lilivyotaka kufanyika unaona kabisa ni jambo lilipangwa vizuri kabisa, Mh Lissu ni mtu wa watu na wakati mwingine tunafanya vikao mpaka saa nane usiku kwahiyo kama shambulio la Mh Lissu lilikuwa lina lengo la kihalifu watu wangeweza kumsubiri akitoka Dar es salaam kuja Dodoma usiku, wangemsubiri jimboni kwake usiku lakini jambo hili limefanywa kutisha wazungumzaji wengine kama sisi, jambo hili ni lengo la kupeleka meseji kwamba tunaweza tufanya kitu chochote na msitufanye kitu chochote na unafahamu,” Lema aliiambia BBC.

Kwa upande wa afya yake, Mchungaji Peter Msigwa-mbunge Iringa mjini alisema bado afya ya mwanasiasa huyo haijaweza kukaa vizuri kwani bado upo kwenye wodi ya watu wenye ungalizi maalumu.
Tags

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ni kweli kabisa lisu hakupigwa rirasi na jambazi au wahalifu, lisu kapigwa rirasi na watu wanaojulikana, sio usenge wa kutwambiya eeti hapa Tanzania kuna watu , wanajulikana , na wengine hawajulikani hovyoon kweli hizi cinema za pombe na wezanke, na yule jerali hakupigwa risasi na watu wasio julikana , uwongo wanawajuwa , wamempiga rirasi yule mzee kumeoneya bure, plan ya john pome, ni kwamba kumpiga risasi yule jenerali, intawafanya wa tanzania kuamini kamba kuna watu wasiojilikana , wanafanya haya mambo, TUMEKUSHTUKIYA , endeleya kuuwa nawe siku yako itafika utaondoka, na madeni ya roho za watu,john Pombe MAGUFULI anapenda sana sifa na kutumbuwa wafanyakazi majipu, na kuonekana anachapakazi sana, sasa hii wa watu kupigwa risasi usingekuwa mpango wake, Ugelikuwa tayari ashenda kwenye waandishi wa hapari , na kuwapa waku wa ulinzi siku mbili tu wapeleke upelelzi wao,na ingeliwambiya sitaki uje hapa uje uniyambiye kuna watu wasio julikna sita waelewa , enge endeleya na kusena MM KAMA RAIS WA ICHII HII NA AMIRI JESHI MKUU, KAZI YANGU YA KWANZA NI KUWALINDA WANTANZANIA NDOYO WALIYO NIWEKA HAPA KWA KURA NYINGI SANA , WALINIAMINI SANA NDO MAANA WAKANICHAKUWA, SIWEZI KUWAMBIYA WANACHI HAWA , KAMA WAOAFANYA HAYA MATOKIYO NI WATU WASIO JULIKANA , SIWEZI KABISA, ATAENDELEYA JOHN POMBE NA KUSEMA, NAKATA MAJESHI YOTE YA ULIZI HAPA NCHINI , WAIMARISHE ULINZI, NA MUNILETEE HAWA WATU WASIO JULIKANA NDANI YA SIKU MBILI, MWISHO.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Wewe mdau hapo Juu. Umetumwa?? Mbona unajifanya kuzunmza na kumlaumu Mh Raisi wa nchi yetu.
      Mimi sikujui wewe ni wa wapi.
      Lakini ulivyo andika unaonesha ni Dhahiri .. Unachuki binafsi juu ya Watanzania na Raisi Wetu.
      Sasa Tunakwambia. Uandishi wa maoni wa dizaini Hii Hatuupendelei na Hatutaki kuuona.

      Delete
    2. Jambazi akikushambulia au akikuibia Huwa unamjua amejipanga vipi mpaka akaamua kufanya kweli?
      je wewe hapo chamani unamjua adui yako ni nani na anadhamira gani juu yako.
      Muulize huyu wa ekti na wewe unajua pia alivyo taka kuuwawa na uongozi wa chamani.
      Hayo si mageni chamani kinajulkana. Ndiyo wahenga walinene.
      KIKULACHO KI....... MWAKO "SWADAKTA" HATA JOTI PIA ANAJUA.
      UNAUHAKIKA GANI KUHUSU KESI ZA WATU ALIZO SHIKA NA WEYEWE WAKAWA HAWAANA FURAHA NAE.
      USIBWABWAJIKE PIA COMMON SENSE WEWE.
      KIJANA MDOGO HUNA UJUALO ILIMRADI USEME UONEKANE UMESEMA KAMA YULE JAMAA MWINGINE MPO MPO TU.
      HATA MWELEKEO HAMNA. NINI KICK NDIYO MNATAFUTA.

      Delete
  2. Wewe mdau hapo Juu. Umetumwa?? Mbona unajifanya kuzunmza na kumlaumu Mh Raisi wa nchi yetu.
    Mimi sikujui wewe ni wa wapi.
    Lakini ulivyo andika unaonesha ni Dhahiri .. Unachuki binafsi juu ya Watanzania na Raisi Wetu.
    Sasa Tunakwambia. Uandishi wa maoni wa dizaini Hii Hatuupendelei na Hatutaki kuuona.

    ReplyDelete
  3. Godless Wema...!!! Haya unayo sema Unauhakika nayo.
    Jambazi akikushambulia au akikuibia Huwa unamjua amejipanga vipi mpaka akaamua kufanya kweli?
    je wewe hapo chamani unamjua adui yako ni nani na anadhamira gani juu yako.
    Muulize huyu wa ekti na wewe unajua pia alivyo taka kuuwawa na uongozi wa chamani.
    Hayo si mageni chamani kinajulkana. Ndiyo wahenga walinene.
    KIKULACHO KI....... MWAKO "SWADAKTA" HATA JOTI PIA ANAJUA.
    UNAUHAKIKA GANI KUHUSU KESI ZA WATU ALIZO SHIKA NA WEYEWE WAKAWA HAWAANA FURAHA NAE.
    USIBWABWAJIKE PIA COMMON SENSE WEWE.
    KIJANA MDOGO HUNA UJUALO ILIMRADI USEME UONEKANE UMESEMA KAMA YULE JAMAA MWINGINE MPO MPO TU.
    HATA MWELEKEO HAMNA. NINI KICK NDIYO MNATAFUTA.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad