Hali ya Lisu Haielezeki na Lolote Linaweza Kutokea- Mbowe

Hali ya Lisu Haielezeki na Lolote Linaweza Kutokea- Mbowe
Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu amepigwa risasi leo Alhamisi  na kupelekwa chumba cha upasuaji katika Hospitali ya Rufaa ya Dodoma.

Katibu wa Bunge, Dk Thomas Kashililah, Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe, wabunge na viongozi wengine wa ulinzi wa Bunge wamefika katika hospitali hiyo kujua kinachoendelea.

Dereva wa Tundu Lissu aliyeshika nguo zenye damu
Akizungumza na kituo cha ITV Mwenyekiti wa CHADEMA Freeaman Mbowe amesema  "Hali ya Tundu Lisu ni mbaya Sana, na msishangae mkasikia lolote kuanzia sasa"

Kwa mujibu wa taarifa zilizopo ni kwamba amekimbizwa hospitali na sasa yupo chumba cha upasuaji
Baadhi ya ndugu na wagonjwa wamefurika katika chumba cha upasuaji cha hospitali ya mkoa wakitafakari huku wengine wakilia.



Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mungu amweje anapostahiki. Alikosa Uzalendo kabisa. Tutamkumbuka. Saa nyingine.

    ReplyDelete
  2. Sio suala la kufurahia hata kidogo tunamtakia apone haraka lakini Tundu Lisu alikuwa anawakera wengi hata wale waliomuamini siajabu hata kidogo yaliyomfika kwa kuwa ilionekana yeye mwenyewe Lisu akitafuta suicide.

    ReplyDelete
  3. Kosa kila kitu pata aki.elimu yenu hapo juu shida. Ksma fikra ya watanzania kama hao juu basi nchi hii mashakani. Kwa nini wstu wengi wanavhagua ujinga. Ni kutokuona mbali su kutoelimika auni ugonjwa usiotibika.

    ReplyDelete
  4. Unaweza kupata elimu lakini ukakosa kuelimika. Watanzania wengi wanajiita wasomi akiwemo Tundu Lisu wana tatizo la kutoelimika.mfano wasomi wengi walioaminiwa na wananchi na serikali ndio waliohusika na uhujumu wa kutisha wa nchi hii.

    ReplyDelete
  5. Kati ya wazalendo ambao wameishepu nchi hii kama Lisu.ni tofauti Kama mnaweza kumfananisha lisu na wanaccm walioihujumu nchi ni tatizo la kufikiti. Hakuna mzalendo mwsnasheria Tanzsnia smbaye anapiganua haki, ampigania usawa, anapigania rlimu na uzalendo, na kupigania mali za watanzania bila woga kama Lisu. Lisu ni shujaa wa nchi hii na kutokana na ushujaa wake na wspinzani wengi ndo tunaanza kuyaona matunda serikalini.mengi yanajitokeza bungeni na wengi wanaogopa kuona wanaibuliwa na hawakutegemea hata. Wanafikiri njia nyepesi ni kumtoa Lisu. Hawajui kama wanaamsha mengi na mazito zaidi.

    ReplyDelete
  6. Pamoja na yote anayo zungumza lakini hakuna haki ya yeyote kumpiga risasi. Mkisha kubali hilo eti kwakua anakera watu au anazungumza yanayo wasumbua vichwa mnao waamini au waogopa. Swali nini maana ya bunge la vyama vingi? Nani atafata Zitto, lema, mdee au Hussain. Badala ya kuua watu kwanini wadisimame tu wakasema vyama vingi imefutwa kuanzia Leo na nyinyi masikini tunao watetea endeleeni kutushanilia tutawaletea mikate toka mbinguni.
    So called baba wa taifa aliwahi kisema ukisha kila nyamba ya mtu dhambiyake haikuachi
    Wameanza na Lisu wakiwamaliza wapinzani watawafata wana habari na kisha wewe unae shangilia sasa
    Sad and shameful to be tanzanian today

    ReplyDelete
  7. Nakumbuka Wakati WA IRAQ.
    FILAMU ZILITENGENEZWA KWA MAZINGIRA KAMA HAYA NA CHA ZAIDI KILIKUWA SOUND EFFECT.
    LISU ANAKERA WATANZANIA ZAIDI YA MILIONO40
    YEYE NI SAWA NA ANIRIA AU MLALA HOI YEYITE. KAMA MAJAMBAZI WAMETAKA VXR AU ANADAIWA NAJALIPA AU M/KITI WAKE KAKASIRIKA NA KIKI ZAKE
    YOTE YATAANGALIWA.
    HILI NI LA KAWAIDA AU KWAJR LINA KIKI NYINGINE.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad